MATUKIO YA NEMUVIWA
Viongozi wa Shirika la Sanduku la Barua wanaotoa vitabu vya kufundishia Vijana na Watoto walitembelea Ofisi yetu iliyopo Kilombero Mkoani Arusha mwezi November 2022 wa kwanza kulia ni Simon ambaye ni Mjumbe wa Kamati kuu ya NEMUVIWA anayefuata ni Awaichi Sahara Mwangalizi mkuu wa NEMUVIWA anayefuata ni Rev. Charles Mrema makamu Mwangalizi Mkuu kushoto ni Kiongozi wa Sanduku la Barua toka Kenya.

Comments
Post a Comment