NEMUVIWA ni huduma ya Neno la Mungu kwa Vijana na watoto . Huduma hii imeanzia Tanzania Machi 17 mwaka 2012 in afanya kazi ndani na nje ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na in ashirikiana na Huduma na Ma kanisa y ote ya Kikristo ndani na nje ya Nchi. Makao makuu ya Huduma hii yapo mtaa wa Majengo , kata ya Levolosi kwenye Jengo la Calvary Temple Kilombero Arusha Mjini. Huduma hii ina malengo yafuatayo:- a) Kuwafikia Watoto na Vijana kwa Injili ya Yesu Kristo M a kanisani, Vituo vya Watoto wa Mtaani , Vituo vya Watoto yatima, na maeneo mengine yote walipo Vijana na Watoto . b) Kuwakumbusha Wazazi jukumu lao la kuwalea Watoto na Vijana wao katika maadili ya Neno la Mungu, c) Kuyakumbusha Makanisa kuandaa watumishi wa kuwafikia watoto na vijana kwa Neno la Mungu M a kanisani, Vituo vya Watoto wa Mtaani , Vitu...
Comments
Post a Comment