Posts

Showing posts from January, 2023

MATUKIO YA NEMUVIWA

Image
  Viongozi wa Shirika la Sanduku la Barua wanaotoa vitabu vya kufundishia Vijana na Watoto walitembelea Ofisi yetu iliyopo Kilombero Mkoani Arusha mwezi November 2022 wa kwanza kulia ni Simon ambaye ni Mjumbe wa Kamati kuu ya NEMUVIWA anayefuata ni Awaichi Sahara Mwangalizi mkuu wa NEMUVIWA anayefuata ni Rev. Charles Mrema makamu Mwangalizi Mkuu kushoto ni Kiongozi wa Sanduku la Barua toka Kenya. Mwangalizi Mkuu wa NEMUVIWA akigawa Vitabu vya kufundishia Vijana na Watoto Mkoani Lindi Nchini Tanzania mwaka jana 2022 baada ya mafunzo.

NEMUVIWA

NEMUVIWA ni huduma ya   Neno la Mungu kwa Vijana   na watoto .  Huduma hii  imeanzia Tanzania  Machi 17  mwaka 2012 in afanya kazi ndani na nje ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  na  in ashirikiana na  Huduma na  Ma kanisa y ote  ya Kikristo  ndani na nje ya Nchi.   Makao makuu ya  Huduma hii yapo   mtaa wa  Majengo ,   kata ya  Levolosi  kwenye Jengo la Calvary Temple Kilombero Arusha Mjini. Huduma hii ina malengo yafuatayo:- a)  Kuwafikia Watoto na Vijana kwa Injili ya Yesu Kristo  M a kanisani,   Vituo vya Watoto wa  Mtaani , Vituo vya Watoto yatima, na maeneo mengine yote walipo Vijana na Watoto . b)  Kuwakumbusha Wazazi jukumu lao la kuwalea Watoto na Vijana wao katika maadili ya Neno la Mungu, c)  Kuyakumbusha Makanisa kuandaa watumishi wa kuwafikia watoto na vijana   kwa  Neno la Mungu M a kanisani,   Vituo vya Watoto wa  Mtaani , Vitu...